Sunday 23 February 2025 - 08:36
Tafuta maarifa juu ya Mwenyezi Mungu katika radhi za wazazi wawili

Kuwatendea wema wazazi wawili (baba na mama) ni katika maarifa ya mja kwa Mwenyezi Mungu, kwani hakuna kitendo cha ibada kilicho cha haraka zaidi katika kupata radhi za Mwenyezi Mungu kuliko kuwatendea wema baba na mama.

Shirika la habari la Hawza - Imamu Swadiq (a.s) amesema:

«بِرُّ اَلْوَالِدَيْنِ مِنْ حُسْنِ مَعْرِفَةِ اَلْعَبْدِ بِاللَّهِ إِذْ لاَ عِبَادَةَ أَسْرَعُ بُلُوغاً بِصَاحِبِهَا إِلَى رِضَى اَللَّهِ مِنْ بِرِّ اَلْوَالِدَيْنِ.»

"Kuwatendea wema wazazi wawili (baba na mama) ni katika maarifa ya mja kwa Mwenyezi Mungu, kwani hakuna kitendo cha ibada kilicho cha haraka zaidi katika kupata radhi za Mwenyezi Mungu kuliko kuwatendea wema baba na mama."

Mustadrak al-Wasail, Jz 15, uk 198

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha